All projects
Pharmacy Management System
Obrigado Pharmacy System ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa maduka ya dawa (Pharmacy Management System) unaowawezesha wamiliki kusimamia dawa, mauzo, na expiry dates kwa urahisi mkubwa. Imeundwa kwa teknolojia ya Django, mfumo huu unakuja na muonekano wa kisasa (White-label) na unafaa kwa maduka madogo, ya kati, na makubwa.
Status: In Development
Technologies used
- django
- html-5
- css
- postgresql

Interested in Pharmacy Management System?
Get in touch to learn more or discuss a similar solution for your organization.

